Viongozi-Wananchi Connection's Community

Baraza La Maongezi Kwa Watanzania Popote Pale Walipo.
 
HomeHome  PortalPortal  CalendarCalendar  GalleryGallery  FAQFAQ  SearchSearch  MemberlistMemberlist  RegisterRegister  Log inLog in  

Share
 
 huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani

Go down 
AuthorMessage
rekesheiPosts : 17
Join date : 2008-06-20

huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani Empty
PostSubject: huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani   huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani I_icon_minitimeThu Jul 17, 2008 7:46 pm

habari zenu wake kwa waume,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23 sasa,hila tatizo linalonisumbuaa nahisi sina hamu na wanaume!!!nilipokuwa mdogo kwakweli umri wa miaka 7 mpaka 12 kwakweli nilikuwa na katabia kachafu kwakweli kwetu tulikuwa hatuna pesa za hivyo lakini tulikuwa na pesa za kubadilishia mboga,sasa kuna bahadhi ya ndugu zetu huwa walikuwa wanakuja namiee ndio nilikuwa mjukuu wa kwanza tatizo ilikuwa ikifika usiku kuna huyo ndugu jamaaa alikua akijaa nalala naee chumba kimoja ikifika usiku nilikuwa namfunuaa nguoo namtiaa vidole siku nyingine kijiti cha kiberiti lakini alikuwa asemi kitu chochote ikafikia kipindi na yeye alikuwa akinitiaa kidole n hakuwahi kusema mpaka sasa niemkuwa mkubwa kwa bahati miee nikasafiri kwa sasa niko uk naishi huku na wazazi wangu lakini sikuwahi kusikia siri hiyo kuvuja,baada ya hapo nikapata boyfriend niakishi nae lakini alinitenda nilishamfumania na mwanamke ndani lakini nikawa nampenda,ikafikiaa kipindi nikasema na nafsi yangu nikaachana na yulee boyfriend wangu alikuwa wa kwanza nadhani ndio atakuwa wa mwisho,kwani naogopa wanaumee hila natamani muda mwingi natumia naangaliaa sex video namaliza haja zangu,sasa tatizo langu najiona katabia kanu kanarudi kwani nikipita njiani nikiona matako ya wanawake wenzangu natamani auu nikiona michoro ya chupi basi nasisimkwa yaani najiuliza hili ni tatizo gani???na je dawa yake nini kwakweli naumia kwa vile namiee ni msichana,je dawa yake ni mwanaume??na kwa sasa sitaki kuchezewa,niko mwanamke nimekamilika na hata ukiniona huwezi dhania kama nina tabiaa za kutamani wanawake wenzangu!!naomba unisadiee ndugu yangu,niondokane na tatizo hili.miee khanifah
Back to top Go down
View user profile
dRUPosts : 5
Join date : 2008-07-15

huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani Empty
PostSubject: Re: huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani   huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani I_icon_minitimeSat Jul 19, 2008 1:02 pm

Kwanza ninakupa pole na vile vile hongera kwa kuwa jasiri kusema ile siri ambayo kama ulivyokiri kuwa yule mwenzako bado hajaianika!!!

Yote uliyoyasema si mageni na ni mambo ambayo wako baadhi ya watu kama wewe yamewatokea na wengine kukubali kuishi "Shoga" na wengine kuwa washindani kutaka kuafuta ufumbuzi kama ulivyo wewe.

Kwa vile upo UK, jaribu kumuona daktari wako ili akufatutie mshauri wa kisakologia akupe undani zaidi wa hali yako na nina hakika utasaidiwa.
Back to top Go down
View user profile
RAIPosts : 10
Join date : 2008-07-07

huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani Empty
PostSubject: Re: huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani   huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani I_icon_minitimeSat Jul 19, 2008 4:16 pm

rekeshei wrote:
habari zenu wake kwa waume,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23 sasa,hila tatizo linalonisumbuaa nahisi sina hamu na wanaume!!!nilipokuwa mdogo kwakweli umri wa miaka 7 mpaka 12 kwakweli nilikuwa na katabia kachafu kwakweli kwetu tulikuwa hatuna pesa za hivyo lakini tulikuwa na pesa za kubadilishia mboga,sasa kuna bahadhi ya ndugu zetu huwa walikuwa wanakuja namiee ndio nilikuwa mjukuu wa kwanza tatizo ilikuwa ikifika usiku kuna huyo ndugu jamaaa alikua akijaa nalala naee chumba kimoja ikifika usiku nilikuwa namfunuaa nguoo namtiaa vidole siku nyingine kijiti cha kiberiti lakini alikuwa asemi kitu chochote ikafikia kipindi na yeye alikuwa akinitiaa kidole n hakuwahi kusema mpaka sasa niemkuwa mkubwa kwa bahati miee nikasafiri kwa sasa niko uk naishi huku na wazazi wangu lakini sikuwahi kusikia siri hiyo kuvuja,baada ya hapo nikapata boyfriend niakishi nae lakini alinitenda nilishamfumania na mwanamke ndani lakini nikawa nampenda,ikafikiaa kipindi nikasema na nafsi yangu nikaachana na yulee boyfriend wangu alikuwa wa kwanza nadhani ndio atakuwa wa mwisho,kwani naogopa wanaumee hila natamani muda mwingi natumia naangaliaa sex video namaliza haja zangu,sasa tatizo langu najiona katabia kanu kanarudi kwani nikipita njiani nikiona matako ya wanawake wenzangu natamani auu nikiona michoro ya chupi basi nasisimkwa yaani najiuliza hili ni tatizo gani???na je dawa yake nini kwakweli naumia kwa vile namiee ni msichana,je dawa yake ni mwanaume??na kwa sasa sitaki kuchezewa,niko mwanamke nimekamilika na hata ukiniona huwezi dhania kama nina tabiaa za kutamani wanawake wenzangu!!naomba unisadiee ndugu yangu,niondokane na tatizo hili.miee khanifah

wewe rekeshei unajua huyo binti wengine tutampataje ? maana wazee wa kule kwetu huwa tunapendelea mwanamke ambae hajui mambo mengi ya kikubwa. hivyo sio mbaya kama nitakuwa mwalimu wake. na kwako dada khanifa, mie nakuahidi sintokuchezea haki tena.
Back to top Go down
View user profile
Sponsored content
huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani Empty
PostSubject: Re: huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani   huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani I_icon_minitime

Back to top Go down
 
huyu anahitaji msaada wa nguvu jamani
Back to top 
Page 1 of 1

Permissions in this forum:You cannot reply to topics in this forum
Viongozi-Wananchi Connection's Community :: Your first category :: MAPENZI NA MAONGEZI-
Jump to: